Posts

FOR ALL KENYAN #HOW TO STOP MASTERBATION JINSI YA KUACHA KUPIGA PUNYETO/KUJICHUA

Image
Leo naomba nizungumzie tatizo ambalo nahisi vijana wengi tumekuwa watuhumiwa katika kitendo hiki. Kujichua ni tabia ya kingono ambayo inapofanywa kwa kiwango kikubwa inaleta matatizo ya kiumbo na kisaikolojia kwa anayefanya tendo hilo. Na katika kipindi cha zama hizi ambazo majarida, vipindi na hata mitandao mingi inaonyesha picha za ngono ndio kunaifanya tabia hii kushamiri kwa kiwango kikubwa. Kwani vijana wengi wanaingia katika mchezo huu wa kujiridhisha wenyewe bila kujua madhara yatakayokuja baadaye. Waelimisha rika wengi wamekuwa wakiwaambia vijana kwamba kujichua ndio njia salama ya ngono kwani hatari ya kupata magonjwa kwako haipo na wanaongezea kuwa wafanye kwa kiwango kidogo pale wanapojisikia hamu ya tendo. Lakini wanasahau kuwaeleza madhara yake pindi inapofanywa kwa kiwango kikubwa na pia wanajua wazi kuwa mara mtu anapoanza tabia hii kuitawala kwa kiwango inakuwa ngumu. Baadhi ya madhara ambayo unaweza ukayapata ukifanya kwa muda mrefu: 1.Maumivu

FOR ALL KENYAN STAILI YA KUMKOJORESHA MWANAMKE

Image
Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kilele kwa upungufu wa nyege au matatizo mengine ya kimaumbile tukiachilia mbali swala la kukeketwa. Baadhi ya wanawake hufikia kilele mara moja tu (tena kwa shugulikiwa kisimi sio ule uhondo wa kumani) kila wanapofanya mapenzi/ngono na wachache wamejaaliwa na hupata uhondo wote wa kufanya mapenzi yaani wanaweza kufika kileleni zaidi ya mara mbili katika tendo/mzunguuko mmoja. Ujuzi au utundu wa mwanaume hausaidii ikiwa mwanamke mwenyewe hajiamini na vilevile hajui ni kitu gani kina “kunyegesha”. Mwanamke anasehemu mbili maalum zinazopelekea kufikia kilele ikiwa zitafanyiwa kazi vyema sehemu hizo ni Kisimi na “kipele G” Wanawake wengi tunakasumba ya kukimbilia “mikao” migumu tukiwafikiria wanaume wetu, sasa mimi nasema hivi; ikiwa unamatatizo ya kufika kileleni hakikisha mnaanza na “mkao” ambao unajua wazi unakufikisha ktk dakika chache badala ya kukimbilia “doggy” ukijua wazi mumeo/mpenzi wako ana m

HII NDIO THAMANI YA MWANAMKE.

Mwanamke ni kama Jua unaweza usione umuhimu wake, yaani kila siku unaenda mjini jua lipo tu, unaliangalia lakini huangalii umuhimu wake kwako. Wakati mwingine likiwa kali unaanza kulalamika kuwa linachoma na lina kera. Lakini ukitafakari kidogo tu utajua kuwa bila jua maisha yasingekuwepo. Chakula tunachokula ni kwasababu ya Jua, mvua ikinyesha sana mafuriko yakitokea tunatamani jua, kwenye baridi tunatamani pia jua, Hatuliwazii kwasababu lipo tu na linatimiza majukumu yake kimya kimya bila kelele. Hiyo ni sawa na mwanamke, ukishaoa kuna mambo ambayo mwanamke huyafanya na baada ya muda unaanza kuyaona ya kawaida kawaida, chakula kinakuwa mezani kila siku hujui kinapikwaje na vyombo vinaoshwaje, anabeba mimba na watoto wanazaliwa hujui maumivu aliyoyapata lakini unatabasmu na kucheka ukijisifia watoto wangu na hata mkigombana unasema niachie wanangu wewe nenda tu tafikili unajua maumivu aloyapata kipindi anawaleta duniani ao watoto. Watoto wanaumwa mpaka wanapona hujui hata wam

MAPENZI; HIZI NDIZO FAIDA NA HASARA ZA KUFANYA MAPENZI WAKATI WA UJAUZITO, SOMA HAPA

Image
Habari za jioni wapenzi wasomaji wangu! Katika mfululizo wa kusasambua leo naomba niongelee kuhusu kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito!  Nimefikia hatua mara baada ya mabishano na mijadala kadhaa ya watu wazima kuhusu mapenzi, staili na madhara kipindi cha ujauzito! kwa leo mimi ntasema machache nnaimani mengi yanajulikana tayari.      Kabla yote ieleweke kwamba wapo baadhi ya wanawake ambao inapofika kipindi cha Ujauzito huwa hawapendi hata kuguswa bega na waume zao, kama hali ikiwa hivi, mume usimmaind sana, elewa ni mapito tu na " atarudi kundini soon" Pia wapo baadhi ya wanawake ambao wanapokuwa na ujauzito basi hamu ya kufanya mapenzi huongezeka maradufu na inawezekana wakataka "Uroda" Kila siku, hapo pia mzee mwezangu jua ni mapito, yataisha tuu! Kikubwa ni kuelewa Mkeo yupo katika hali gani na kujitahidi kadri ya uwezo wako kwenda nayo sawa.                Mbali na hayo napenda niseme kuwa "INAWEZAEKANA"  kabisa Mume na Mke

SABABU ZA KUTOKA HARUFU MBAYA UKENI NA NAMNA YA KUJIKINGA

Image
Wanawake na watu wengi huzani kuwa harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchavu na kutojisafisha vizuri… Matokeo yake huongeza jitihada katika kujisafisha bila mafanikio ya kuondokana na tatizo hili… Kihalisi, badala kusuluhisha, unapojisafisha zaidi ni unaongeza tatizo badala ya kutatua… Japokuwa ni kweli mara nyingine inaweza ikawa ni sababu ya uchafu… Ila mimi naamini walio wengi huwa wanazingatia usafi… Ndo maana nimeona leo tupeane mawazo juu ya tatizo hili, na kujua namna ya kujikinga VSABABISHI i. Bacteria Tatizo hili husababishwa na Bakteria kwa asilimia kubwa. Kwa asili, ukeni huishi jamii ya bacteria waitwao Lactobacillus ambao jukumu lao kubwa ni kufanya mazingila ya uke kuwa katika hali nzuri. Kutokana na njia mbaya za kusafisha uke, hasa kujisafisha kupindukia, ama kwa kutumia sabuni zenye dawa, husababisha bacteria hawa kufa kwa wingi na mahala pake kuchukuliwa na aina zingine za bacteria ambao huzaana kwa wingi na kusababisha tatizo hili. Pia kwa wale w

KUJICHUA AMA KUPIGA PUNYETO KWA MWANAMKE HIZI NDI FAIDA ZAKE

Image
Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puri au punyeto sounds manly) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake tufanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable” kulizungumzia au kukili kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia…….wakati mwingine mtu unashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mapaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu. Kujichua au kujichezea ni njia pekee ya kujifunza kufika kileleni, kuujua na kuuelewa mwili wako na kujua utamu wa ngono ukoje(incase hujui utamu huo ukoje). Kwa kujichua utajua jinsi kutoa na kupokea raha ya kufanya mapenzi na mpenzi wako, utasaidia ngozi yako kuwa nzuri na laini (mambo ya Urembo hayo) na vilevile utajua jinsi ya kuzuia (kuchelewa kwa makusudi kufikia mshindo) au kumsubiri mwenzio ili mfike pamoja, hakuna raha ya kufanya mapenzi kama kufika kwa wakati mmoja. Faida za

Je unajua jinsi ya kufanya mapenzi kwa kutumia simu basi soma hapa(sex phone)

Mapenzi ni k2 cha ajabu sana katika hii dunia maana kuna njia nyng sana za kufanya mapenz na bila kuingiza uume wala mwanamke kuingiziwa uume kwenye uchi wake na akaridhika kabisa,kwa mfano kuchezeana sehemu za siri mpaka wote mkakojoa kama vile kunyonyana,au mwanamke kuyabana maziwa yake na mwanaume kuingiza uume wake na kuanza kusugua mpaka akojoe,lkn hayo yote kwa leo hayatuhusu bali nataka tuangalie jinsi ya kufanya mapenzi kwa kutumia simu mpaka mkapizi wote. Ni rahisi sana kwa yule ambaye yuko serious na amedhamiria kufanya hii,unapotaka kufanya mapenzi kwa njia ya simu kwanza inatakiwa akili yako yako yote idhamirie kufanya hivyo na uwe unafuata masharti unayoambiwa na mpenz wako au m2 unayefanya naye mapenzi ya simu... Ili m2 ukojoe lazima kuwepo na kitu kinachokufanya ukojoe kwa mfano kwa wanaume lazima asuguliwe mb** na kitu laini na mwanamke hivyo hivyo lazima achezewe au aingiliwe na uume ndo akojoe,so fikra zako unatakiwa uzilete huku kwenye penzi la simu na uassume kuwa u