Posts

Showing posts from April, 2017

FAHAMU SMS Ambayo Itamfanya Mwanamke Akutamani

Image
Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja. Kabla ujumbe ufupi kuvumbuliwa, wanaume walikuwa wakifuata mbinu nyingine kuonyesha kuwa wamevutiwa na wanawake waliowapenda. Walikuwa wakituma barua, kuambia rafiki wa rafiki zao ama kuwafuata na kuwapigia mbinja majumbani mwao. Lakini kwa bahati nzuri, hivi sasa kuna SMS, ambazo zina uwezo wa kutuma ujumbe mfupi hapo kwa hapo kwa mwanamke ili kurahisisha kazi yako ya kutongoza. Kabla hujaanza kumvutia mwanamke, ni lazima kwanza umfanye akutambue kwa njia chanya kwanza. Mwanzo haupaswi kutumia SMS kumsisimua mwanamke mpaka ile siku ambayo utapata kumsoma na kumjua zaidi. Lazima ujipatie muda ili ujenge connection kati ya nyinyi wawili ili iweze kufanya kazi. Kufanya hivi kutat

Njia 8 Za Kugundua Iwapo Mwanamke Amepandwa Nyege Akiwa Kando Yako

Image
  Je unaweza kutambua iwapo mwanamke amepandwa na nyege akiwa kando yako? Well, kama unazifahamu ishara bayana basi inakuwa rahisi kwako. Ok, tuanze hivi. Hebu chukulia umeketi na marafiki zako wa kiume na wa kike halafu ghafla rafiki yako mmoja akaanza kuonyesha ishara fioa ambazo wewe pekee ndio umezitambua kuwa amepandwa na nyege na anataka ufanye makamuzi ya haraka haraka. Hiki ni kipawa kilioje? Sasa waonaje kipawa hiki cha kutambua mwanamke kama amepandwa na nyege bila hata kumgusa wala kumchungulia mwili wake wa ndani kiwe unakimiliki? Relax, Nesi Mapenzi iko hapa. Tutakupa ishara zote tuzijuazo hapo chini. Zama nasi... #1 Anakuangalia kana kwamba wewe ni nyama iliyotandazwa vyema Kwa lugha nyingine tunaweza kuita ‘macho ya mahabat’ ama ‘macho ya mlalano’. Kuna mtizamo wa macho ambao mwanamke atakuangalia tofauti na vile ambavyo unamtambua kukuangalia. Hii ni ishara ya kukuambia kuwa amekupa nafasi ya wewe uchukue hatua ya kwanza kwake. Utamwona kuwa mara kwa ma

Jinsi Ya Kutumia Mbinu Ya Utabiri Kumvunja Nguvu Mwanamke Ili Abaki Na Wewe Milele

Image
Awali katika machapisho yetu tumeshawahi kuzungumzia swala ya mbinu ya kumkontrol mwanamke kama rimoti kwa kutumia mbinu ya ‘nanga’. Well, leo kama Nesi Mapenzi tumemua kuiweka wazi mbinu ya ‘utabiri’ kama moja wapo ya Sanaa Ya Kutongoza ambazo tumekuwa tukizichapisha hapa. Ok, hebu tuanze kwa kuuliza maswali. Je ushawahi kuwa na girl friend? Kama huna girlfriend mpaka siku ya leo unangojea nini? [Soma:  Jinsi ya kupata mpenzi haraka ] Na kama umekuwa na girlfriend muda huu wote, je wewe na huyu girlfriend wako mnaishi vipi? Je mnazozana, mnakosana, ama hamuelewani? Katika mahusiano haswa inapotokea kuwa nyote wawili mnapendana lakini kuna mmoja wenu hajaridhika na mwenzake basi mara nyingi ukifanya uchunguzi utakuja kugundua kuwa mmoja kati ya nyinyi wawili huwa ana mchepuko/ mpango wa kando. Na mara nyingi inauma sana iwapo huyo ambaye anakuwa na mpango wa kando ni mpenzi wako, na mbaya zaidi ni pale ambapo bado unampenda huyu mpenzi wako. Kwa kueleza kifupi ni kuwa umegundu

Jinsi Ya Kujizuia Kutofanya Mapenzi Katika Mahusiano Mapya

Image
Kuingia katika mahusiano mapya ya kimapenzi huwa ni furaha na kuchanganya pia. Unaingiwa na hisia ambazo hujawahi kuwa nazo na pia kupenda kwa dhati. Mpenzi wako anakufurahisha na wewe pia unamfurahusha. Lakini inaweza kutokezea sitofahamu wakati ambapo wewe hutaki ama hujiskii kufanya mapenzi lakini yeye akawa na hamu ya kufanya tendo hilo. Sababu zozote zile uko nazo, una haki ya kujizuia kutofanya tendo la ngono mpaka ile siku ambayo utajiskia kuwa umefikia siku yako. Mwili ni wako na maamuzi ni yako. So utafanyaje umzuie mpenzi wako kutofanya ngono na wewe? Mambo ya kufanya kumzui mpenzi wako kutofanya mapenzi nawe 1. Usilale kwake Iwapo hautaki kufanya mapenzi na mpenzi wako, basi ni vizuri usijiingize katika hali ambazo zitachangia nyinyi wawili kuingiwa na hamu ya mapenzi. Iwapo umetoka deti na mpenzi wako, usijaribu kumsindikiza hadi kwake ama kuenda njia moja. Pia hutakiwi kuwa unazunguka sehemu ambazo mpenzi wako anaishi wakati kama huo kwa sababu inaweza

Style Za Kumkojolesha Na Kumfikisha Mwanamke Kileleni Haraka new update 2017

Image
Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kilele kwa upungufu wa nyege au matatizo mengine ya kimaumbile tukiachilia mbali swala la kukeketwa. Baadhi ya wanawake hufikia kilele mara moja tu (tena kwa shugulikiwa kisimi sio ule uhondo wa kumani) kila wanapofanya mapenzi/ngono na wachache wamejaaliwa na hupata uhondo wote wa kufanya mapenzi yaani wanaweza kufika kileleni zaidi ya mara mbili katika tendo/mzunguuko mmoja. Ujuzi au utundu wa mwanaume hausaidii ikiwa mwanamke mwenyewe hajiamini na vilevile hajui ni kitu gani kina “kunyegesha”. Mwanamke anasehemu mbili maalum zinazopelekea kufikia kilele ikiwa zitafanyiwa kazi vyema sehemu hizo ni Kisimi na “kipele G” Wanawake wengi tunakasumba ya kukimbilia “mikao” migumu tukiwafikiria wanaume wetu, sasa mimi nasema hivi; ikiwa unamatatizo ya kufika kileleni hakikisha mnaanza na “mkao” ambao unajua wazi unakufikisha ktk dakika chache badala ya kukimbilia “doggy” ukijua wazi mumeo/mpenzi wako ana m

Zijue siku hatari kwa mwanamke kupata ujauzito (mimba) utajifunza au kujikumbusha kitu

Image
Zijue siku hatari kwa mwanamke kupata ujauzito (mimba) utajifunza au kujikumbusha kitu Inafaa tufahamu kuwa ili kuweza kujua ni siku zipi za mwezi mwanamke anaweza kushika mimba (to conceive) inabidi tujua kwanza kipindi ambacho mwili wa mwanamke uko tayari kushika mimba auOvulation Period. Ovulation ni wakati ambao yai lililokua hutoka katika mirija ya ovari katika kizazi cha mwanamke na katika wakati huu uwezo wako wa kushika mimba ni mkubwa. Kwa kawaida mwanadamu huwa na mayai kadhaa katika ovari zake kwa wakati maalum wa mwenzi, ambapo yai kubwa kuliko yote huondoka na kueleka katika tumbo la uzazi kupitia mirija ya ovari. Ovulation haifuati mpangilio maalum kati ya ovari katika kila mwezi na haijulikani ni ovari gani itatoa yai kila mwezi. Wakati yai linapotoka huwa na uwezo wa kurutubishwa au kukutana na mbegu ya kiume na kuanza kutengeneza mtoto kwa muda wa masaa 12 hadi 24, kabla halijapoteza uwezo wake. Iwapo yai litafanikiwa kurutubishwa na mbegu ya kiume kwa wak

HIZI NDIZO NJIA SAHIHI ZA KUSHIKA MIMBA KWA MWAMKE ENDAPO ATAZINGATIA MFUMO ELEKEZI.

Image
Mayai ya mwanamke ni mojawapo ya viungo ambavyo vimeshatengenezwa kabla hata mwanamke hajazaliwa, yaani tangia akiwa fetus ndani ya tumbo la mama yake.  Haya mayai yanakuwa tayari pale msichana anapopata menstruation yake ya kwanza average ya miaka 12 hadi 14. Kuanzia hapo hadi pale atakapofikia menopause/kikomo cha menstruation kwa mwanamke (average miaka 51) mayai yake na fertility yake hupungua anavyozidi kuzeeka.  Yaani katika ujana wake, teenage na 20s ni muda ambao ni rahisi zaidi kutunga mimba. Na kuanzia miaka 30 had 51 uwezo huu unapungua kwa kiasi kikubwa mpaka unapoisha kabisaa.  Wakati kwa wanaume wao sperm cell zinaanza kutengenezwa pale wanapo balehe(puberty age) mpaka siku atakayo kufa. Hii inamaanisha kama mwanaume akiwa katika hali nzuri ya kiafya anaweza kumpa mimba mwanamke hadi afikapo uzeeni iwapo mwanamke bado hajafikia menopoase na ni fertile.    Zingatia mambo haya sasa  Moja, Ingawa unene unaweza kumzuia mtu asishike mimba lakini kufanya mazoezi sana na